gibela mp3 download

South African Music
gibela mp3 download
  • Album:
  • Chini Kid
  • Singer:
  • Gibela
  • Release:
  • 2023

Share Now:

Gibela Lyricsgibela mp3 download

Tangazo
Tangazo
Tangazo
Watoto wazuri hawapendi pesa za mawazo, s2kizzy baby

Mmh, clap
Clap!
Hmmm, clap Clap
Krrrrrr… clap
Ah chino wanaman
Clap chui.!

Clap
Ah chino
Clap

Ukimtakaaaa
Uwe na helaa
Salamu nyingi
Story nyingi unamkera

Ukimtakaaaa
Uwe na helaa
Salamu nyingi
Story nyingi unamkera

Mana makeup bei
Viatu bei
Na nywele bei
Vinataka money

Ka’ uko tee
Usisoge
Bure bure utamu atakupa nani?

Wanaume hatuongei tunafanya vitendo
Yani bora tufilisike wa’enjoy warembo

Dada unataka pesa?
Njoo uchukue
Pombe wameisha zileta?
Njoo uchukue
Ama ganja ya kunyeta?
Njoo uchukue
Ama unataka… mmmm
Njoo univue, aish!

Cholesha
Huna cholesha
Nimekubamba kubamba kubamba unacholesha
Cholesha
Huna cholesha
Nimekubamba kubamba kubamba kacholesha

Osh osh

Oya pombe so sigara
Pombe so sigara
Oya pombe so sigara
Pombe so sigara
Oya pombe so sigara
Pombe so sigara
Oya pombe so sigara
Pombe so sigara

Hi gibela
Eh gibela
Hi gibela
Eh gibela
Eluwena gibele eh gibela

Hi gibela
Wenakhendela
Hee camera
Hee camera
Hee camera
Hee camera
Hee camera
Hee camera
Niko nadem wa mtu ondoa camera

Mmh, clap
Clap!
Hmmm, clap
Clap

Krrrrrr… clap clap
Ah chino wanaman
Clap
Ah chino
Clap
Walizani mafanikio
Kama vinivu
Kumbe nimejipanga nikofululu
Wale wambea na wachawi wote macho juu

Wanabaki kutapata tapatapa
What can he do?
Ona sasa nimetoka wananiomba vocha
Nabaki naropoka, khaa mama
Vi-vichwa vyao vimechoka kwa style Kama foca

Mana naiogopaah

Mmh, clap
Clap!
Hmmm, clap
Ah chino wanaman Clap

Ah chino Krrrrrr… clap clap
Clap clap

Hi gibela
Eh gibela
Hi gibela
Eh gibela
Eluwena gibele eh gibela

Hi gibela
Wena gibela
Hi mana gibela
Eh gibela
Hi gebele
Eh gibela
Eluwena gibele eh gibela

Cholesha
Huna cholesha
Nimekubamba kubamba kubamba unacholesha
Cholesha
Huna cholesha
Nimekubamba kubamba kubamba unacho le e e e

Oya pombe so sigara
Pombe so sigara
Oya pombe so sigara
Pombe so sigara
Oya pombe so sigara
Pombe so sigara
Oya pombe so sigara
Pombe so sigara